Sunday, October 26, 2014

UJENZI WA MAABALA KILINDI

Hali ya ujenzi wa maabala kaika shul ya Kwediboma secondary ina endelea vizuri na speed kwani inaonyeesha jinsi majengo yalivyo katika hali nzuri na kwa ujenzi wa kisasa. hongereni mkurugenzi wa wilaya ya Kilindi pamoja na watendaji wa vijiji pamoja na wananchi wote wa Kwedibima kilindi



No comments:

Post a Comment