Baada ya masomo ni full mazoezi. hayo ni mazoezi ya wanafunzi katika mchezo wa netball. hii ni ishara kuwa michezo katika shule hii inasonga mbele, kwa kuibua vipaji vipya kila kukicha
VOLLEYBALL LINEUP
Kikosi cha timu ya Volleyball cha shule ya secondari Kwediboma wakiwa katika mwonekano mzuri katika mechi yao na timu ya secondari Mgera. kwaediboma ilishinda kwa seti 3-1