JINSI ILIVYOKUWA KATIKA MAAFARI YA DINI KATIKA SHULE YA KWEDIBOMA KIDATO CHA 4 MWAKA 2015
shekh Jumanne na Fadhili wakitoa neno kwa waagwa.
Ni Ustadhi Abdallah
Maseif Tondo katika poziiii
Ni katika shughuli ya maulid ya kidato cha nne yaliyofanyika hapahapa shuleni huku wakiombewa wafanye mitihani yao vyema yakumalizia elimu ya sekondari
Saturday, August 22, 2015
Baada ya kazi ni MENU
WANAFUNZI WA KWEDIBOMA SEC. WAKIWA KATIKA MICHEZO
Baada ya masomo ni full mazoezi. hayo ni mazoezi ya wanafunzi katika mchezo wa netball. hii ni ishara kuwa michezo katika shule hii inasonga mbele, kwa kuibua vipaji vipya kila kukicha
VOLLEYBALL LINEUP
Kikosi cha timu ya Volleyball cha shule ya secondari Kwediboma wakiwa katika mwonekano mzuri katika mechi yao na timu ya secondari Mgera. kwaediboma ilishinda kwa seti 3-1