Wanafunzi wakiwa katika elimu ya kujitegea ya kuyaandaa mahindi ili kuyaweka dawa na kuhifadhi kwa ajili ya chakula katika muhula wa kwanza 2015. Kazi kama hizi ziwaweka wanafunzi kujifunza kujitegemea baada ya kumaliza masomo yao, ila pia kazi za kujitegemea zinapelekea wazafunzi kujifunza ubunifu wa ujasiliamari...... Hongeleni walimu wa KWEDIBOMA kwa kuwajibika kulima mahindi.